Tanzania Premier League

TFF Yataka Ligi za Wilaya Kuhusisha Zaidi Vijana wa U20

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevitaka vyama vya soka nchini vinavyosimamia ligi za Wilaya na Mikoa kuwatumia zaidi wachezaji vijana wenye umri chini ya miaka ishirini (U20) ili kusaidia kuibua , kuvitengeza,  kuvikuza na kuviendeleza vipaji vya vijana wengi nchini watakaochangia kuongeza idadi ya wachezaji kwa ajili ya kuzitumikia timu za Taifa. Hayo …

TFF Yataka Ligi za Wilaya Kuhusisha Zaidi Vijana wa U20 Read More »

Young Africans Yaishusha Azam FC Kileleni Ligi Kuu Bara

Timu ya Young Africans imefanikiwa kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC baada ya kuichapa mabao 2-0 timu ya Dodoma Jiji kwenye mchezo uliopigwa Novemba 22, 2022 majira ya saa 10:00 katika uwanja wa Liti uliopo mjini Singida. Mchezo huo baina ya timu hizo ulikuwa mkali ambapo timu zote zilikuwa na hamu ya kupata alama …

Young Africans Yaishusha Azam FC Kileleni Ligi Kuu Bara Read More »