TFF Yasaini Mkataba wa Miaka Mitano na UNFPA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limesaini mkataba wa mpango kazi wa miaka mitano na shirika la UNFPA (United Nations Population Fund) Novemba 16, 2022 katika hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la makubaliano hayo ni kurudisha kwa jamii na kuifanya Tanzania iwe sehemu salama kwa wanawake, vijana na watu …



